#COVID19 KCMC yakumbwa na uhaba wa oksijeni kwa wagonjwa wa COVID-19

Nchi tajiri itakosaje mitungi ya 0xgen...uchochezi huu.
 
Jiwe aliharibu watu akili na kuamini hamna corona ila Arusha na Moshi kumeathirika hasa Moshi ambako Kuna wazee wengi.
Ni kweli Moshi na Arusha kuna hiyo shida kwasasa Wazee wanamepotea sana kwa kweli, ninadhani na hali ya hewa pia inachangia sana, hebu fikiria ukiwa na mafua tu halafu upo kwenye mazingira ya ubaridi unavyopata shida, Sasa ukiweka hapo na kirusi chenyewe ndio kabisa Mzee akipata hachukui round.

Nimekuwepo maeneo hayo siku za hivi karibuni kiukweli wanajaribu sana kuchukua tahadhari nimeona kwenye nyumba za Ibada wanavyojaribu kuchukua tahadhari, huwezi kuamini mpaka kwenye makazi ya watu kuna sanitizer na maji kwenye ndoo ila bado hiyo haijasaidia.
 
Matamshi yake yalifanya watu waache kuchukua tahadhari ikiwemo kuruhusu misongamano na kutokuvaa barakoa, matokeo wizara ikaacha kutoa maelekezo na Sasa watu hawafanyi lolote na matokeo tunaona uhaba wa mitungi ya oksigen

 
nimempoteza mjomba wangu leo asubuhi kwa Covid hapo hapo KCMC.....
 
Moshi na Arusha kuanzia January na mwezi wa pili na tatu kwenye second wave watu wengi walikufa Sana na hii ya Sasa, na kipindi hichi nadhani baridi Kali za kipindi hichi zimechangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…