KDF amphibious attack was the first by an African military

Kuna civilian version na military grade. Anyway kama raia wa kawaida wanatumia huko marekani nendeni pia nyinyi kama nchi mkamununue.
There iz other options za silaha..Kikosi cha SAUDI ARABIA kilichoenda Yemen wanazo hizo silaha nyingi sana Nna zingine za kisasa zinazotumia thermo detections na Infra red lakini wanachakazwa vibaya na Wahauthi wanaotumia A.K 47 na RPG...kuwa na silaha ni kitu kingine na auwezo wa medani ya vita ni kitu kingine kabisa...
 
Bla bla bla....
 
Mkenya have ever heard about anjuani accomplished by Tanzanian forces?

If yes, futa usemi wako Kenya ni ya kwanza kufanya aphibious attack in Africa
 
We don't do promos...we do the work. Ask people who know what we represent. They will tell you. Army is a holy institution. It is not a place to practise experiential marketing my dear Kenyans

Eti hamna promo??? Nimecheka hadi mbavu basi, si juzi nyie ndio mlikua mnapiga mabomu minazi na fukwe..... Halafu bado nakumbuka mkipasua matofali wakati kikosi kilichokua kimewatembelea cha Japan wanafanya vitu vya kweli.





Picha za mazoezi ya pamoja ya Wanajeshi wa Tanzania na China - NYANJA Blog - HABARI KWANZA
 
Yale yalikuwa mazoezi ya kawaida ya kijeshi. Kupasua tofali ni sherehe ya kuonyesha Ile pesa yaenda kwa jeshi, inatumika ipasavyo. Msilete picha za kufanya marketing ya jeshi. I know what it takes to be in the army and get ambushed....see your colleagues get killed. It happens...It has happened in Somalia as well. Trust me that is a painful process. Sasa kinachoendelea hapa ni kufanya marketing ya jeshi...kama mchuzi mix kwa mboga
 
Sisi hatuna vita tutapigana na nani;,? Nyie mpo itani malizeni vita acheni kujisifia sifia tuu
Mara Wanazndua Ford mara KDF amphibious attack. daah awa ndugu zetu wapo vzur kwny promo.
BTW napenda wanavosapotiana kwny thread zao tofaut na sisi tunatangulza makundi ya siasa ata katka vtu muhimu vya kulitangaza taifa.
 
Haya sii maneno ya kujivunia hata kidogo.

Tutajieni mafanikio yenu kijeshi.
Linganisha na hii hapa.

Tulimchapa Idd Amin.
Tuliirudisha madarakani serikali halali iliyopinduliwa na waasi visiwa vya Comoro.
Mshale umegusa penyewe.
Tusubr majibu yao
 
Nyang'au is enraged to know her amphibious attack of 2012 in Kismayu was 5 years behind Tanzania's!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…