KDF hits Al-shabab - hapana mchezo hapa

Wait for their response in Nairobi! Remind urself It's nipe nikupe affair!
 
Good work KDF kanyangeni Hawa mende hata ingawa hawafi kwa urahisi. Naona tayari wanaochukia Kenya wamekimbia humu kutuombea mabaya.
 
Wait for their response in Nairobi! Remind urself It's nipe nikupe affair!
Ni mpuuzi tu kama wewe ambaye anaweza akashabikia magaidi ambao waliwaua watanzania wenzako hivi majuzi. Tena ambao wanaendelea kuwatumia vijana watanzania kila uchao kama mazombie kuendeleza shughuli zao za kishetani, za kuwaua watu wasiokuwa na hatia.
 
Ahahaha una uchungu mzee baba, al shabaab adi wakenya wenzenu wapo
 
Ahahaha una uchungu mzee baba, al shabaab adi wakenya wenzenu wapo
Wapo. Ndio maana KDF wapo Somalia wakipambana dhidi ya ugaidi. Sasa ntakuwaje na uchungu kwasababu wanalipuliwa? Au umenifananisha na huyo mpuuzi mwenzako ambaye ameumwa baada ya kuona magaidi ambao waliwaua watanzania wakidondoshewa mabomu?
 
Actually, unfortunately it was not KDF. It was the Americans who blasted these mofos like that. This video has been spreading on twitter.
 
Wait for their response in Nairobi! Remind urself It's nipe nikupe affair!
OVER 1,600 Rounds of Ammos, Grenade, G3 Rifle among other Assorted Weapons were early today confiscated at Majengo Mapya Area in Likoni in a resolute Operation by a Multi-Agency Team led by #ATPU Detectives. THREE Terror Suspects also Fatally Injured in a Shootout & Seven Arrests effected.
Also recovered were the following;
68 Air Rifle Pellets
5KG of Ammonium Nitrate
Nine Balaclavas
Military/Police Uniforms
Military Holsters & Porches
Rifle Oil
One GPS
Six Machetes
Three Knives among other assortments.

Those arrested currently undergoing Investigative Interviewing.
 
This guy was a high ranking alshabaab intelligence officer who was arrested in Mogadishu more than 2yrs ago .
Who let these High raking Al-shabaab terorrist out of prison?
Is the Federal government of Somalia planning to use terrorism to destabilise Kenya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…