KDF hits Al-shabab - hapana mchezo hapa

Hapo pamekaushwa hata mavi hayawezi kukusanywa.
Il ambayo ilinifurahisha ni ile ya Alshabaab walipoingia Boni Forest ambayo iko mpakani mwa Kenya na Somalia upande wa LAmu, wakajaribu kuvamia kambi ya KDF (FOB) wakiwa wanarikodi na camera, kumbe walikua wanarikodi vile walikufa !!!!!
Your browser is not able to display this video.
 
Hatari sana hii.
Huyo jamaa alie post hio leaked video kwa liveleak.com vile alisema... haha good stuff!

 
Ona venye shingo imenona. Huyo amekula kuku sana akiwa gerezani. Lakini akija ajue tutapasua kichwa chake kama tulivyofanya ndugu zake.
 
Silaha muwauzie nyie halafu mnakuja na ngonjera
Corruption mbaya sana katika dunia hii na vita haitaisha kama kuna wasaliti
 
Alshabaaab wakitinga TZ nawambia tutakimbizana humu

Acheni tu ibaki kama story ila hawa viumbe wakitinga Hii nchi

Ule mkimbiano wa panya road ni theluthi ya trela

AL shabaab kwani hawajulikani walipo au kutuzuga tuuu

Si tupite kwa rocket huko angani tudondoshee mabomu kwenye makazi yao?

Au ugumu uko wapi?
 
Kila siku alshabaab alshabaab Mbona osama mlimsakaranya hadi mkampata

Sembuse hawa alshabaab mnaojua hadi wanalala vitanda gani?

kama kweli alshabaab n materrorist wamalizeni otherwise tunazugwa

ila adui ni.......
 
Wakitinga Tz kufanyaje?.hao jamaa wanawapiga kenya wana interest zao sio kuwakomoa tu.ingawa matakwa yao ni yakishenzi tu, chanzo ni mabeberu wa kiingereza if not mistaken na masuala ya boundaries.vita za kidini kwa hawa waislam wenzangu ni hatari kama wamepewa pilipili kichaa.Kuwamaliza hawa jamaa sio rahisi kama unavyofikiri it need time,plan and skills coz huwezi wajua kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…