KDF passout ceremony

Huwa naumia sana kila nikiona hizi picha nikikumbuka nikiwa kijana nilivyojaribu kwa kila mbinu kujiunga jeshini, maisha yangu tangu utotoni nilitaka kuwa mwanajeshi, yaani nimetimiza ndoto zangu nyingi ikiwemo ya kuwa mtaalam, lakini hii ya jeshini ilinikwepa na mpaka leo huniuma hehehehe!!

Anyway hongera sana KDF, ila ningeshauri wawe na mfumo wa kupokea hata watu wazima wakujitolea, yaani pawe na special programme ya kutupokea tupate mafunzo na kurudi kwenye shughuli zetu na kuwa tayari muda wowote kuitwa na kuitetea nchi na bendera. Kama wafanyavyo Israel.
Mimi sitahitaji mshahara yaani ile tu nimehusika kuilinda nchi yangu. Kama vipi nikajiunge French Foreign Legion
 
Waambie hao wakikuyu wakae kwa mstari ulionyooka, sio kofia zinapishana pishana kama shamba la uyoga.

By the way, namkubali sana President Kenyatta,kama mtaniruhusu nitamnunulia suruali ndefu kidogo ili aweze kuweka na mirungi kidogo kwenye soksi 'akiwa kwa kari yake aendange akitafuna' πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mungu alitaka uwe mtaalam wa hali ya juu kushinda kuishi kambini ukipiga tizi. But i still respect our soldiers, they protect us. Japo ni kazi ngumu sana na ya kujitolea. Halafu kuna baadhi ya wake zao ambao wanachezewa huko kwa ploti. Ni kazi inayostahili maombi na mtu asiye na hasira za mkizi.
 
Hii camoflage ni ya kikosi kipi?
I am not sure, i may be wrong but i think hiyo ni combat fatigue ya GSU Recce squad. Fatigue au magwanda ya Kdf hayana prominent maroon colour kama hiyo. Kdf fatigue ina rangi ya brown instead of maroon. Ndio maana GSU wanaitwa maroon commandos.
 
Don't regret too much,
 
Bado wewe mwanajeshi au umestaafu?
 
I am not sure, i may be wrong but i think hiyo ni combat fatigue ya GSU Recce squad. Fatigue au magwanda ya Kdf hayana prominent maroon colour kama hiyo. Kdf fatigue ina rangi ya brown instead of maroon. Ndio maana GSU wanaitwa maroon commandos.
wrong, hao ni AP(administration police) na GSU hawaitwi maroon commandos. Maroon commandos is the name of the band (all KDF soldiers based at Langata baracks)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…