KDF waendelea kupokea kichapo toka kwa Alshabaab miaka 10 sasa tangu wajipeleke Somalia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Hii inatokea wakati wanaume wa kazi wamerejea nyumbani toka Msumbiji ambako kwa wiki mbili tu walitembeza kichapo na kusambaratisha magaidi waliosumbua kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo kubwa la kaskazini mwa Msumbiji.
 
Una update yoyote ya Msumbiji mkuu?
 
na mm natamani kupata hiyo update maana naona kimya
 
Wanaume wamesharudi nyumbani, ila wamewekwa mpakani endapo jeshi la Msumbiji likishindwa kuwadhibiti tena, basi watarudi Msumbiji, ujio wa rais wa Msumbiji pamoja na mambo mengine ilikua ni kuishukuru Tanzania
sasa si umesema kwamba mumeshawamaliza magaidi wote. Sasa tena wamewekwa kwenye border wakingojea kama magaidi watawashinda nguvu jeshi la Msumbiji kwa nini? Kwani hamjawaangamiza hao magaidi? Kwani bado wanapigana na serikali ya Msumbiji? Be clear maana hueleweki. Mara wamemaliza kazi mara hawajamaliza wanaongojea kwenye border. Hueleweki. Kama mmewaua wote basi mnangojea nini kwenye border?
 
kwani ume catch???[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wanaume wamesharudi nyumbani, ila wamewekwa mpakani endapo jeshi la Msumbiji likishindwa kuwadhibiti tena, basi watarudi Msumbiji, ujio wa rais wa Msumbiji pamoja na mambo mengine ilikua ni kuishukuru Tanzania
Okey
 
sasa si umesema kwamba mumeshawamaliza magaidi wote. Sasa tena wamewekwa kwenye border wakingojea kama magaidi watawashinda nguvu jeshi la Msumbiji kwa nini? Kwani hamjawaangamiza hao magaidi? Kwani bado wanapigana na serikali ya Msumbiji? Be clear maana hueleweki. Mara wamemaliza kazi mara hawajamaliza wanaongojea kwenye border. Hueleweki. Kama mmewaua wote basi mnangojea nini kwenye border?
Unafikiri ni kwa nini baada ya vita vikosi huwa vinabaki kwenye eneo kwa muda?
 
sasa si umesema kwamba mumeshawamaliza magaidi wote. Sasa tena wamewekwa kwenye border wakingojea kama magaidi watawashinda nguvu jeshi la Msumbiji kwa nini? Kwani hamjawaangamiza hao magaidi? Kwani bado wanapigana na serikali ya Msumbiji? Be clear maana hueleweki. Mara wamemaliza kazi mara hawajamaliza wanaongojea kwenye border. Hueleweki. Kama mmewaua wote basi mnangojea nini kwenye border?
Tumia akili vizuri, magaidi hutoka nchi mbalimbali na kujikusanya upya, tumewamaliza Walioku ndani ya Msumbiji sio duniani, kuna habari kuwa wameanza kuingia Msumbiji toka nchi zingine kwa lengo la kujipanga upya.
 
Sio sahihi kubeza taifa fulani kwa kushambuliwa/kuzidiwa nguvu na magaidi, ugaidi ni habari tofauti.
 
Tofauti kivipi wakati nchi makini zinafanikiwa kudhibiti ugaidi ndani ya mipaka yake?, Ethiopia wameweza kuzuia mashambulizi ya Alshabaab ndani ya ardhi yake, Marekani wameweza, Msumbiji wanafanikiwa, iweje nchi moja inashindwa katika kila tatizo?, Ukabila, rushwa, terrorism, Corona, Crime na njaa?
 
sasa si umesema kwamba mumeshawamaliza magaidi wote. Sasa tena wamewekwa kwenye border wakingojea kama magaidi watawashinda nguvu jeshi la Msumbiji kwa nini? Kwani hamjawaangamiza hao magaidi? Kwani bado wanapigana na serikali ya Msumbiji? Be clear maana hueleweki. Mara wamemaliza kazi mara hawajamaliza wanaongojea kwenye border. Hueleweki. Kama mmewaua wote basi mnangojea nini kwenye border?
Sasa Tz inabidi tuwasaidie hawa noisy neighbours, Al shabab wanajichagulia wapi pa kupiga. Mwisho wa siku tutaanza kupokea wakimbizi.
 
sasa si umesema kwamba mumeshawamaliza magaidi wote. Sasa tena wamewekwa kwenye border wakingojea kama magaidi watawashinda nguvu jeshi la Msumbiji kwa nini? Kwani hamjawaangamiza hao magaidi? Kwani bado wanapigana na serikali ya Msumbiji? Be clear maana hueleweki. Mara wamemaliza kazi mara hawajamaliza wanaongojea kwenye border. Hueleweki. Kama mmewaua wote basi mnangojea nini kwenye border?
Ugaidi hauishi kwa kuwaua tu Bali ni kukata mizizi yao ndio maana wamebakia mpakani ili msumbiji wamalizie be kulipobakia
 
Back
Top Bottom