KDF Yanunua helicopter 12 na zana zingne za kivita

Bravo KDF,get rid of these mujahedeen
African they had never use weapons against a real enemy rather than her own people, believe it or not most of Kenyan will be harmed to terrorists, we not supposed kukuwa happy especially vile tunahead elections politicians minds are dangerous than Juda.
 
rudi chekechea na si tafadhali😀
 
wAJITAHIDI BASI ANGALAU KUPAMBANA NAHO AL-SHABAAB MAANA WAMESHAKUWA KERO SASA SIO KUNUNUA CHOPA HALAF ZINADUNGULIWA NA AK47
 
Kweli nimeamini kdf dhaifu ya al shabbabu tu ndo misiraha ya kila aina wananunua sasa wakipigana na nchi siwatafirisika ??? Al shabbabu AK 47 inatosha kuwakalisha chini ila hiyo ak47 iwekwenye mikono ya askari shupavu
Ukaenda shule ukaambiwa umehitimisha shughli zako kule?
 
Unatafutwa kupakatwa kijana umaarufu hautafutwi hivyo
 
Meanwhile kwenye habari nyingine wakenya wazidi kuuawa SOMALIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…