Acha kujisifia uongoyaani jamaa anajidanganya kama jeshi la JWTZ halina helcopta ha haaaa Kweli wengi hatuijui nchi yetu vizuri.......yaani jeshi liwe na ndege za kivita hafu zikose helcopta kipi chenye bei hapo....tuwe tunafuatilia aisee
Habari zipi????Meanwhile kwenye habari nyingine wakenya wazidi kuuawa SOMALIA.
huo ndyo ukweli......Acha kujisifia uongo
Au kupasulia matofali kichwani ndio ntoke vipi!!!!!!Akili wanazo kdf wanao taka kuua panzi kwa kombora
Tuna vifaa vya kisasa hata vya kupasulia matofali kichwaniyaani jamaa anajidanganya kama jeshi la JWTZ halina helcopta ha haaaa Kweli wengi hatuijui nchi yetu vizuri.......yaani jeshi liwe na ndege za kivita hafu zikose helcopta kipi chenye bei hapo....tuwe tunafuatilia aisee
manuari yetu ya kivita it is number one in Afrika
View attachment 506524
Na sidhani kama tumefkiria kununua.Sisi hatuna hata moja
Wewe ni miongoni mwa watu wasiokuwa na akili timamu duniani.Kweli nimeamini kdf dhaifu ya al shabbabu tu ndo misiraha ya kila aina wananunua sasa wakipigana na nchi siwatafirisika ??? Al shabbabu AK 47 inatosha kuwakalisha chini ila hiyo ak47 iwekwenye mikono ya askari shupavu
Hapa wakija alishababibi 2tu mtaharisha nchi nzima wale hawajipasulii matofali mkuuwAJITAHIDI BASI ANGALAU KUPAMBANA NAHO AL-SHABAAB MAANA WAMESHAKUWA KERO SASA SIO KUNUNUA CHOPA HALAF ZINADUNGULIWA NA AK47
Na matofali ya kupasulia kichwaniAskari wenu wanatatizo la kisaikolojia ili muondokane nalo inatakiwa serikali iwatume kdf wakiwa na ak47 tu tena yenye magazini moja
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Ukaenda shule ukaambiwa umehitimisha shughli zako kule?
Kweli wakenya akili amna kichwani mnatumia makalio kufikili kdf niya kifara sana wapelekeni huko somalia na AK47 tu wakajifunze "uaskari worries "siyo kukata mauno kama mbiliabeliWewe ni miongoni mwa watu wasiokuwa na akili timamu duniani.
unaweza kufananisha KDF wanywa pombe na wanaume JWTZ hata mngenunua nyuklia bombs hamwezi kupiga TZ hao al- shabaab wakija kwetu tunawapa kamanda siro tu haina haja ya kupeleka JWTZHapa wakija alishababibi 2tu mtaharisha nchi nzima wale hawajipasulii matofali mkuu
Mnanunua mavifaa kibao hata hamjui kuyatumiaHapa wakija alishababibi 2tu mtaharisha nchi nzima wale hawajipasulii matofali mkuu
WE HUONI HIYO PICHA acha masihara basi tumeinunua hela nyingi kweliIko wapi??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unaweza kufananisha KDF wanywa pombe na wanaume JWTZ hata mngenunua nyuklia bombs hamwezi kupiga TZ hao al- shabaab wakija kwetu tunawapa kamanda siro tu haina haja ya kupeleka JWTZ
Watz si muingie somalia basi mlete amani,muache mdomo, everytime kuongea to, we can do this we can do that,y dont u do it and bring peace in somalia ndio mtajua ata US na Russua ni kali lakini al-Qaeda na ISIS wanawasumbua
relax man...haven't you realised what's going on in here?we just snub this silly arguments nowadays.. utawaste tu energy.achana nao wajibambe tuWatz si muingie somalia basi mlete amani,muache mdomo, everytime kuongea to, we can do this we can do that,y dont u do it and bring peace in somalia ndio mtajua ata US na Russua ni kali lakini al-Qaeda na ISIS wanawasumbua
Halafu hawa wakenya nawashangaa sana mpaka vyombo vyao vya habari vinaleta taarifa za uongo
12 new American made light attack helicopter gunships to boost the country’s military air capabilities.
US government has cleared the purchase of 12 new American made light attack helicopter gunships to boost the Kenya’s military air capabilities.
According to Kenya Defence Forces sources, the new attack helicopters; MD530F are set to replace ageing MD500 fleet.
Kenya’s MD500 helicopters constitutes the core of the reconnaissance equipment supporting KDF ground forces especially in the ongoing fight against the Islamist Al-Shabaab terrorists in Somalia.
The deal has been approved despite opposition to an earlier weapons purchase deal Kenya had sought from Washington.
According to US State Department, the purchase estimated to be worth $253 million (Sh25 billion).
The deal includes the purchase of 12 MD530F Cayuse Warrior light attack helicopters, machine gun pod systems, rocket launcher systems and assorted ammunition.
According to the sources, U.S Army Security Assistance Command was expected to send Kenya a formal letter of offer and acceptance (LOA).
In total, KDF will receive 12 MD530F weaponries helicopters, 24 heavy machinegun pods, 24 HMP400 machine gun pod systems, 24 M260 rocket pods and 4,032 M151 high-explosive rockets.
Others equipment include 1,536 M274 smoke rockets, 400,000 rounds of .50 calibre ammunition and communications/navigation equipment.
US is also expected to provide Kenya with logistical support, training and technical assistance and spare parts and field service support under the deal.
The helicopter in the proposed sale has been used for a similar mission scope by the Afghan Air Force.
This purchase will significantly enhance the KDF modernization efforts and increase interoperability with the U.S Armed Forces and other partners in the region.
KDF acquires 12 American light attack helicopter gunships, other Weaponries
Hahaha kwani wakenya ni waarabu am sure mwenye aliweka picha ni kuonyesha which helicopters he is talkin about,waaahHalafu hawa wakenya nawashangaa sana mpaka vyombo vyao vya habari vinaleta taarifa za uongo
Hii picha iliyowekwa ni ya Afghanistan (Sept. 7, 2012).
Source hii hapa:-
Afghan pilot program achieves milestone with first graduates
SHINDAND, Afghanistan (Sept. 7, 2012) -- For the first time in more than 30 years, Afghan pilots completed pilot training held in their home country. The Rotary Wing Flight Training Program was developed and conducted by Soldiers from the U.S. Army Security Assistance Training Management Organization for the Afghan Air Corps in order to create an independent Afghan Air Force program.
Sijui kwanini mlaleta taarifa za uongo humu ndani?
Mpaka magazeti yenu yanaleta taarifa za uongo.
Hivi mtaacha lini?