kebehi, dharau dhidi ya wanasheria/waendesha mashtaka wa serikali

young solicitor

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,123
Reaction score
713
niwasalimu wote

kumekuwepo na dharau kashfa na kejeli dhidi ya wanasheria/waendesha mashtaka wa serikali kana kwamba hawana mchango wowote katika ujenzi wa taifa.
je, tunawatendea haki ?
 
Wanajua wenyewe ! Kama wayofanya ni mazuri waulize, wao wenyewe wana majibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…