Keep it secret until is done

Keep it secret until is done

"If you announce your goal to someone, you are less likely to achieve it (So, keep your goal a secret - even in an interview"
IMG-20211130-WA0043.jpg
 
Siku ya siku uinoe na msasa, itakuwa imeota moram nyingi usije kwangua kuta za watu.....🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🤪
 
Siku ya siku uinoe na msasa, itakuwa imeota moram nyingi usije kwangua kuta za watu.....🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🤪
Eimen.
 
Aaahahahahahahhaaaaaaa poooleeeeee

Nimefanya makusudiii, maskini kiberenge kipururu.....🤣🤣🤣🤣🤣

Haya ulale unono ukue ☺️.
Sio nilale sema nikalalie mwili wa mtoto mzuri..😁
 
Sio nilale sema nikalalie mwili wa mtoto mzuri..😁

Na mkazae matunda mema yalete heri duniani, shari na fitna zipungue.

Upendo, amani na furaha vitawale dunia ikawe mahala pema na salama pa kuishi.

Alamsiki kwenyu.
 
Na mkazae matunda mema yalete heri duniani, shari na fitna zipungue.

Upendo, amani na furaha vitawale dunia ikawe mahala pema na salama pa kuishi.

Alamsiki kwenyu.
Nasema eimen bila kutoa sadaka.. ahsante kasie
 
Back
Top Bottom