LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
"If you announce your goal to someone, you are less likely to achieve it (So, keep your goal a secret - even in an interview"
Itategemea manjonjo ya huyo binti..πFor how long can you keep a secret?
hahahahahahhaItategemea manjonjo ya huyo binti..π
Asante sana. Ila ni Kwanini ? Wanakuwa wanafanya isitokee? ama inakuwaje ?"If you announce your goal to someone, you are less likely to achieve it (So, keep your goal a secret - even in an interview"
Itategemea manjonjo ya huyo binti..π
Miaka 7!Wee kipururu unawaza manjonjo tuu siku nzima....
Hujapozwa una muda gani...!!?π€ͺ
Miaka 7!
Eimen.Siku ya siku uinoe na msasa, itakuwa imeota moram nyingi usije kwangua kuta za watu.....ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈπ€ͺ
Eimen.
Sio nilale sema nikalalie mwili wa mtoto mzuri..πAaahahahahahahhaaaaaaa poooleeeeee
Nimefanya makusudiii, maskini kiberenge kipururu.....π€£π€£π€£π€£π€£
Haya ulale unono ukue βΊοΈ.
Sio nilale sema nikalalie mwili wa mtoto mzuri..π
Nasema eimen bila kutoa sadaka.. ahsante kasieNa mkazae matunda mema yalete heri duniani, shari na fitna zipungue.
Upendo, amani na furaha vitawale dunia ikawe mahala pema na salama pa kuishi.
Alamsiki kwenyu.