Darassa, Huyu mwamba
Ushapata picha ya ule mtu ulimwona Nyang'au,
Ndo huyu yuko on top now you wonder how,
Alechelewa kufika wengi walimdharau,
Na kumbe aliyewahi kuna vitu amesahau.
Tuliwaomba nafasi na sisi tutoke,
Wakasema twende wapi hatufiki popote.(majibu ya kunya)[emoji23][emoji23]
Wakaweka na kiwingu hewani tuogope[emoji16][emoji16]
Fck YOU HATERS
Mungu mkubwa pakeni matope