Keep up the flame in your relationship.....

Naona LIKE_METER yangu juu yako inasoma 175 na limit ni 180.......upo juu
 
From this article u can pick points ambazo zinakufaa au unazoweza kuzifanyia kazi its a good article
 
Orait, basi nendeni mkaokote kuni pamoja, twangeni mahindi ya makande pamoja, Nendeni kilabuni pamoja,
have I missed out any fun thing that you will not be doing together? I guess not.
kwa hiyo umekubaliana na mimi kua zile alizoandika smile ni za kimagharibimagharibi/kimjinimjini na hizi usemazo ni za kikwetu au sio Big?
 
Dearest kama huyo ndiye unayemtegemea kuishi naye maisha yako yote basi u will find a way kuhakikisha kwamba wote mnaenda katika mstari mmoja, kama ni siku ya kukaa bar na kula nyama choma then so shall be it, but kama ni specific for the two of you to hang out together - it so will be, ni suala la kuwasiliana tu na kuwa na mpangilio na maisha yenu
 
Ambao hatujui kingreza tunaruhusiwa kuchangia hii sredi?
 
Asubuhi mlikua wote shambani mnapalilia jioni mrudi kuyaangalia mmeshikana mikono..!! hahaha

kaka its all about having fun together...thats it! Advice is what we ask for when we already know the answer but wish we didn't.
 
Jiko la mafiga na kuni tena nje, bafu la paspot size mlango gunia, Beach??? huku Bahi sijui tutapata wapi hata mfereji hakuna,

With all due respect....ndio maana hizi ideas tunashare humu,
I cant imagine a person from such a location u are reffering to kuwa na access ya internet, could it be?
 
Journals............That is what they are called.

mkuu, si unajua unaweza kufanya hayo yoooote kwa ku-tick ....DONE.

Unajua sio kila kitu tunachofanya ni kwa Love, no, ni kwa ajili ya ku-keep the flame burning........yani ukiambiwa twende beach wewe unasema Orait, una-choose sehemu utakayopata ze national parks za kutosha. She will have you around, she will be filled with the "sartisfaction" you have no clue why, and you will still enjoy your beer and probably drag her into watching some football match at Samaki samaki on your way back home.

That simple. Tuishi nao kwa akili.
 
kaka its all about having fun together...thats it! Advice is what we ask for when we already know the answer but wish we didn't.

With all due respect....ndio maana hizi ideas tunashare humu,
I cant imagine a person from such a location u are reffering to kuwa na access ya internet, could it be?
Ngoja nitoke naona wamekua wakali kidogo...!!!
 
With all due respect....ndio maana hizi ideas tunashare humu,
I cant imagine a person from such a location u are reffering to kuwa na access ya internet, could it be?
Kwa kiswahili hapo umemaanisha nini mpenzi?
 
sku hizi mapenzi yamebaki kwenye maigizo, mziki na sredi za JF tu, kuna micouple kila wiki inakwenda hanemuni, mauwa kibao, maswiming puli na masham sham ya kumwaga. kumbe wizi mtupu! haya ni maoni yangu tu . heshima ya sredi inabaki pale pale
 
hakika we ni klorokwin
 
Dah....
are we thaaaaat boring jamani.....?:A S cry:
 
Comrade....nakumbuka ulinambia ulizaliwa UK. Hebu nikumbushe ni Birmingham au London?
 
With all due respect....ndio maana hizi ideas tunashare humu,
I cant imagine a person from such a location u are reffering to kuwa na access ya internet, could it be?
sasa hii journal yako ina-apply kwa ordinary citizen au kwa extra-ordinary citizen. just asking!!
 
Kimey vitu vingi tuu hasa huku africa vimekaa kimagharibi including hiyo computer unayotumia.
Unachotakiwa kufanya kama mtu alienda shule ni ku-decode concept nzima iliopo hapo na ku-apply ktk mazingira yako! Labda nimkupe mfano si lazima mwende restaurant kama haipo ila kijijini hapakosi mnada nk. Ni mambo kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…