Hii series inaonyesha ni jinsi gani CIA walikuwa wanafanya biashara ya cocaine ili kuwasaidia vyama vya magaidi vya ameika ya kusini ili wazipindue serikali zao za kikomunisti, na bishara ya cocaine ilikuwa inawalenga watu weusi kama wateja na watumiaji ili kuvuruga vizazi vyao,
Na hapo ndipo vilipozaliwa vikundi kama Blood na Crips wakiuana na kugombania umiliki wa kuuza cocaine na waathirika wakubwa wakiwa wenyewe watu weusi...