Keiran Lee asaini mkataba mpya na Brazzers,atalipwa bil. 9.2 kwa mwaka

hAwa jamaa baada ya kuona ajira za kusomea zimekuwa za kugombania wakaamua kuamia kwenye vipawa ambavyo mungu amekubariki navyo na wanapiga hela kweli kweli

Mfano waendesha pikpik,magari yaan kutoka kuwa starehe mpaka kumlipa mtu
Nasikia mwenzetu Nyani Ngabu baada ya kuona maisha yamekuwa magumu kwake kule US nae kajitosa kwenye hizi mbanga!!
 
hAwa jamaa baada ya kuona ajira za kusomea zimekuwa za kugombania wakaamua kuamia kwenye vipawa ambavyo mungu amekubariki navyo na wanapiga hela kweli kweli

Mfano waendesha pikpik,magari yaan kutoka kuwa starehe mpaka kumlipa mtu
Kwa wenzetu hiyo Ni profession na inaheshimiwa, Hadi serikali inachukua Kodi na mshirika yamewekeza na huruhusiwi kufanya hizi kazi Bila bima. Unafungiwa leseni.

Imagine,
Dudu tu inakatiwa bima ya billion 3 kwa mwaka, wkt Kuna wabongo hata bima ya laki 2 kwa mwaka hawana na wanapeleka Moto kila siku.
 
Kwa mtindo huo lazima NGO's zakutosha ziongezeke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…