jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Sep 11, 2016 #1 Emu taja neno la kinafiki uliwahi kuambiwa Mimi:Yani we ni mwembamba hadi reli ikasome(wakati mi ni kibonge kinoma)
Emu taja neno la kinafiki uliwahi kuambiwa Mimi:Yani we ni mwembamba hadi reli ikasome(wakati mi ni kibonge kinoma)
Emmanuel Malima Member Joined Apr 14, 2015 Posts 34 Reaction score 14 Sep 12, 2016 #2 Kunya anye kuku akinya bata kaharisha