Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Sahv hali yake ndiyo hivyo tena

Ova
 
Sasa si kazuia, ina maana we hujui kwamba hiyo ni third world country?
Na sheria zinawezwa kubadilishwa mda wowote.
Tuna wasomi humu na hawajasoma
 
Ila vyeo vingine kwa kweli daah.....yaani ukionesha ukatiri wako ndio unapanda?

Ni hatari kubwa sana ukiyajua Mambo yao yote Watu hao. Waogope sana hao wanaopandishwa Vyeo kwa mtindo wa kupewa au kuvishwa 'nishani ya dhahabu,' wengi wao nyuma ya pazia jeusi wamekuwa wamehusika katika Udhalimu mbaya Sana wa kumwaga damu za Watu wasiokuwa na hatia. Katika kupongezwa kwa kazi za kishetani za namna hiyo ndiyo anapewa Promotion ya kupandishwa Cheo kwa kile wanachokiita kuwa eti ni 'mzalendo na mtiifu kwa Mamlaka.' Mathalani, nasikia kwamba yule Mtu aliyetajwa Sana katika kuhusika na tukio baya sana la kutekwa na kuteswa kwa Dkt. Ulimboka na kisha kutupwa kule kwenye msitu wa Mabwepande, Sasa hivi Mtu huyo inasemekana amepandishwa Cheo na yupo Bungeni kule Dodoma.
 
Mkuu kwa hiyo waache kututesa kwa vitisho wakizeeka watachechemea au kuumwa. Watu wengi wazee wanaumwa, haijalishi ni polisi au la.

Ukatili huu wa polisi lazima ukomeshwe sasa, mambo ya dua na albadiri wala hayafanyi kazi
 
Basi haya
 
Mbona mbowe mlikuwa kuwa mmkumbishi maisha baada ya uenyekiti Kwa kuvua chupi viti maalumu?
 
Mkuu kwa hiyo waache kututesa kwa vitisho wakizeeka watachechemea au kuumwa. Watu wengi wazee wanaumwa, haijalishi ni polisi au la.

Ukatili huu wa polisi lazima ukomeshwe sasa, mambo ya dua na albadiri wala hayafanyi kazi
Kwani nyie hamtazeeka?
 
Huwa najiuliza hawa waganga wanaojitangaza wana dawa huwa ni kweli au utapeli? unashindwaje kumloga mtu mpumbavu kama huyu mwenye dharau na kiburi cha madaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…