P Passed JF-Expert Member Joined Dec 15, 2017 Posts 561 Reaction score 160 Apr 9, 2019 #1 Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
M Mkankule rahel Member Joined Mar 15, 2019 Posts 18 Reaction score 3 Apr 9, 2019 #2 Pregabalin said: Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongeza idadi ya mayai,saingine unakuta humix vzur hasa kama unamix na mkono Sent using Jamii Forums mobile app
Pregabalin said: Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongeza idadi ya mayai,saingine unakuta humix vzur hasa kama unamix na mkono Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Apr 9, 2019 #3 Huenda ikawa unazidisha unga.