Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
HahahaaaMwisho wa siku ataenda chooni TU SAwa na msukuma aliyekula michembe.
Da Umenikumbusha mapupu Ile kitu siwezi kumeza kabisa hata irostiwe na maini.Mimavi tu hiyo
Alisikika muuza mapupu mmoja
Wivu tu kama wa mtendaji mkuu☹☹Mimavi tu hiyo
Alisikika muuza mapupu mmoja
Mbona naona ni keki yenye muundo wa begi na pesa.Hawa ndo tunawaita spending fools. Amuulize Mike Tyson