May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake.
Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu ni tabia asilia ya Viumbe kulialia mbele ya Mama zao maana hata kwenye familia Watoto wanahisi uhuru zaidi kumlilia Mama kuliko Baba.
Na sidhani kama ni sawa kufikiri kila linalofanyika ni mazao ya taarifa za mitandaoni...na hata kama ni hivyo kwani mamlaka hawana nafasi ya kuzifuatilia na kujiridhisha kwa taarifa hizo kabla ya kuchukua hatua?.
Ifike mahali sasa tu relax na kumuacha Mama afanye kazi zake kwa uhuru mpaka atakapomaliza ngwe yake....tusisahau miluzi mingi inamchanganya Mbwa.