OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hahahahaha dah wee jamaa buanaNi sauti za mashabiki wa ukweli wale ambao wapo majumbani au Cinema halls. Sauti zinaingizwa katika system kupitia videos calls mf skype..may be
Ni sauti za mashabiki wa ukweli wale ambao wapo majumbani au Cinema halls. Sauti zinaingizwa katika system kupitia videos calls mf skype..may be
Kweli wengine wanatoa majibu ya kubet ila huu ndio ukweli wenyewe.
Hahaa mkuu humu mitazamo tofauti tofauti imetolewa ila hawa wanaosema sauti za watu majumbani nadhani ni kamba ya wazi kabisa. Yani zikusanywe na wote washangilie kwa pamoja.Acheni kuleta kamba nyie!
Hivi kama ni sauti za mashabiki kutoka majumbani ambao wengi wanakuwa mmoja mmoja ama pengine hawazidi watano sauti zao zikiunganishwa zinaweza kuwa kama inavyosikika?
Huko cinema halls wanaendaje wakati huko ni kama mikusanyiko tu ambayo kwa ulaya bado haijaruhusiwa? Kuruhusu kwenda cinema halls kuna risk kubwa zaidi juu ya hili janga tofauti na kwenda viwanjani!
... kwa maana hiyo mnataka kusema kuwa hata sauti zilizo kwenye games za fifa ni sauti za watu wanaoshangilia wakiwa playstations?
Hili swali nimeshauliza sehemu tofauti na nimepata majibu tofauti, sasa sijui tuwaulize wachezaji wenyewe ili tupate jibu lenye uhakikaNi sawa mkuu je wale wa uwanjani hawazisikii?
Hili swali nimeshauliza sehemu tofauti na nimepata majibu tofauti, sasa sijui tuwaulize wachezaji wenyewe ili tupate jibu lenye uhakika
mbon fa walishasem kitambo kuwa wataomb fifa games watumie saut za games zaoHayo majibu tofauti uliyoyapata ni yapi mkuu?
...unafuatilia Serie A?
Kama unafuatilia huwezi kupata utata wa jibu la hili swali!
Jibu la kweli ni moja tu!