Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na kuongoza msimamo wa ligi.
Ikiwa hii itatokea, natarajia mabadiliko makubwa ya siasa za mpira wa bongo this week. Kubwa zaidi ni kupungua kwa kelele za mashabiki wa Simba za kutaka kocha wao atimuliwe. Hali hii itachangizwa zaidi na mentality ya mashabiki wa hizi timu hizi mbili kuhusanisha mafanikio ya timu moja 'in relation to' hali ya timu nyingine.
Ngoja tuone