Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na kuongoza msimamo wa ligi.

Ikiwa hii itatokea, natarajia mabadiliko makubwa ya siasa za mpira wa bongo this week. Kubwa zaidi ni kupungua kwa kelele za mashabiki wa Simba za kutaka kocha wao atimuliwe. Hali hii itachangizwa zaidi na mentality ya mashabiki wa hizi timu hizi mbili kuhusanisha mafanikio ya timu moja 'in relation to' hali ya timu nyingine.

Ngoja tuone
 
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.
Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Mmmmmmh
 
WATU wasio na Akili wanamuandama Robertinho

Mtu MWENYE AKILI timamu anaangalia Simba ya Darosa ilikuwa na Wachezaji kama.

Simba Ya Mpira Biriani ilikuwa hivi
1.Rary Bwalya.
2.CLOTUS Chama.
3.Thadeo Lwanga .
4.Luis MIQUISSONE.
5.Jonas Mkude
6. Pascal Wawa.

Simba ya sasa wachezaji wanaopoteza Mpira Baada ya DAKIKA Moja.
KIBU Denis.
Sadio Kanute.
Mzamiru Yassin.
Saidio Ntibazonkiza.
Che Malone.

Technical Ability za wachezaji hapo ni tofauti kabisa.

HAO WA JUU walikuwa na Uwezo Mkubwa WA kukaa na mpira, kulinda mpira , kuuchezea na kupiga pass.

HAO wa CHINI ni NGUVU na Kila Dakika KUPOTEZA Mpira.
 
Tatizo la SIMBA ni UONGOZI MBOVU na Aina ya Wachezaji WANAO Wasajili.

Hawa wachezaji wawili WA Mo wamesajiliwa kwa LENGO la WIZI na Upigaji
1. Miquisson WA nini Leo Simba.
2. AYOUB anamtafuta nini Simba?

Wachezaji wenye viwango vidogo wengine ni kama Ifuatavyo.

3. Essomba Onana.
4. Sadio Kanute.
5. Saido Ntibazonkiza.
6. Aubin Kramo

Hawa ni wachezaji Mizigo waliosajiliwa na Uongozi siku za Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…