Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

Well predicted
 
Naona utabiri wako unaelekea kutimia. Ukijumlisha na madudu ya Garmond ya kupanga kikosi kisichoeleweka, hakika kelele zote zitaisha.
Katika hili unastahili pongezi. Kelele zote za kumkataa Robertinho ndiyo zimeishia leo.


Na baada ya hapa tunasubiria tu kelele zote kuhamia kwenye ushindi wa Ihefu! Ihefu imepiga kwenye mshono! Ihefu ndiyo mbabe wa Yanga, nk. Na hawa ndiyo mashabiki wengi wa simba na Yanga walivyo. Siku zote wanaendeshwa na matukio na mihemko.
 
Du kweli Ihefu wamepiga kwenye mshono🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni Nabii yule
 
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
[emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…