Kelele za 'Robertinho atimuliwe' kuisha wiki hii

Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Unasemaaaa.....
 
Wachambuzi wa Mchongo wanatamani sana wangesoma mapema huu uzi wako
 
Huu ndio uzi sasa!! Sio zile story za umbea na kutunga za GENTAMYCINE
 
As Mara nyingi wakitufunga Basi tutakuwa mabingwa tu
 
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Atih nene? jamaa yetu kuanzwa shashaa! alisikika dj afro akikwingilia
 
Yaani unataka Yanga ifungwe na ihefu halafu Simba wajichukulie points zote 3 kwa prisons. Sasa kaa vizuri kusubiri matokeo ya utabiri wako.

Ungejikita kuzungumzia performance ya Simba na tinho wake ingependeza zaidi
Kuna watu wana AKILI sio ww KILAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…