Kelele za vilabu katika eneo la makazi

fluid

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
363
Reaction score
236
jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?
 
That is a public nuisance and by law I think it is unlawful.
 
Pole sana lakini kama walikukuta wamefanya nuisance! Hivyo unaweza kwenda kwenye vyombo vya usalama wa raia au sheria kuriport! Tatizo huku kwetu hakuna sehemu maalum za starehe wala makazi, me naona watu wanachanganya tu makazi na nyumba za starehe! Sehemu nyingine unakuta shule iko karibu kabisa na bar!

Kama una uhakika wewe ndio ulianza kuja hapo kariport kwenye vyombo usika!

jamani wana jf mimi nina nyumba yangu ila sasa, jirani yangu kafungua bar.na kaanza kupiga live band.yani sauti.lote linaingia kwangu..je kisheria hii ni sawa?
 

bwana shukran boss..wao ndio wamenikuta maana nyumba yangu ilikuwa NHC Enzi hizo..na mi nlishainunua zamani kabla hawajaja..ila natafuta kabisa vifungu vya sheria ili niwamalize maana hii kweli ni nuisance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…