Kelele za ndege wenye njaa kutoka msimbazi zimekuwa nyingi sana hadi sasa.
Mara hoo Daima Mbele Nyuma Mwiko Yanga SC wananunua mechi, yani hapo bado amjabwatuka wa puuzi!
Sasa Mei 3 tutawafundisha footibali inavyochezwa na tutawanga haswa na mkitoka mkatangaze na nyinyi tumewanunua kwa juice ya miwa ya glasi mia 5.
Yanga Bingwa