Kelvin Durant amefunga vikapu 17 mchezo mmoja

Kelvin Durant amefunga vikapu 17 mchezo mmoja

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
MICHEZO: Mchezaji Kevin Durant amefunga alama 17 alfajiri ya kuamkia leo Jumatatu Januari 9, 2023 na kuisaidia timu yake ya Brooklyn Nets kuibuka na ushindi wa alama 102-101 dhidi ya Miami Heat kwenye ligi ya kikapu ya NBA.

Durant sasa amefikisha jumla ya alama 26, 669 na kuweka rekodi ya kushika nafasi ya 14 kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote kwenye historia ya ligi hiyo.

#KevinDurant #BrooklynNets #NBA
 
Lengo ilikuwa ni kutupa taarifa ya jumla ya pointi alizo fikisha ama kuna kingine? Maana hizo pointi 17 ni kidogo sana, juzi kati hapa Donovan Mitchell kapiga pointi 71 katika mchezo mmoja. Haya kuna Luca Doncic kila game anatupia pointi 30 nakuendelea huko.
 
Inauma sana kuona Hashim Thabit aliyekuwa na thamani sawa na kina Durrant mwaka 2007 hayupo tena kwenye ubora. Hao kina Durrant wameingia NBA pamoja na kina Hashim huku Hashim
 
Back
Top Bottom