MICHEZO: Mchezaji Kevin Durant amefunga alama 17 alfajiri ya kuamkia leo Jumatatu Januari 9, 2023 na kuisaidia timu yake ya Brooklyn Nets kuibuka na ushindi wa alama 102-101 dhidi ya Miami Heat kwenye ligi ya kikapu ya NBA.
Durant sasa amefikisha jumla ya alama 26, 669 na kuweka rekodi ya kushika nafasi ya 14 kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote kwenye historia ya ligi hiyo.
#KevinDurant #BrooklynNets #NBA