Kelvin Hart: Overrated standup comedian

Kelvin Hart: Overrated standup comedian

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Hakuna kitu. Hapo

Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu

Anaweza tumia dk 5 watu hawajacheka... not only watu.. mimi mwenyewe sijacheka

Sijui sababu nawaangalia sana ma legend
Eddie Griffin, Chris Rock, Richard Prior, Bernie Mack, Steve Harvey etc

Anazingua...kama hii irresponsible show.. ukumbi umefurika lakini anaongea ongea tu...hapo angekua Eddie ingekua balaa

Wanambania Eddie Griffin sababu ana race jokes
 
Namkubali Chris Rock, Kelvin Hart hata mimi simuoni kama ni comedian mkali hata movie zake zina comedy za ajabu ajabu, tofauti na Chris rock sitosahau everybody hates Chris.
 
Una stress zako tu Mjumbe..

Kevin hart namuelewa
Hana kitu...mimi nna collection ya stand ups najaza tera 1.....nikasema ngoja nitafute moja ya huyu bwama mdogo kevi maana siku nyingi huwa simkubali..sasa zingine zoote nmeshaangalia nkasema aarg ngoja nichek mbili tatu...naona ananiboa tu
 
Kevin Hurt binafsi nafikiri ni muigizaji zaidi
Au sitcom Zaid..

Ila stand up top ni
Dave chapele
Chris Rock
Eddie Murphy
Cat Stevens
Hyo list namchkua chris na dave tu ..naomba tafuta show za eddie griffin uone maajab au bernie mack
 
Kevin Hurt binafsi nafikiri ni muigizaji zaidi
Au sitcom Zaid..

Ila stand up top ni
Dave chapele
Chris Rock
Eddie Murphy
Cat Stevens
Hii ni kwa black stand up comedians?
Maana kuna Fluffy, trevor noah
 
Hakuna kitu. Hapo

Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu

Anaweza tumia dk5 watu hawajacheka...not only watu..mim mwenyew sjacheka

Sjui sabab nawaangalia sana ma legend
Eddie griffin,chris rock,richard prior,bernie mack,steve harvey etc

Anazingua...kama hii irresponsible show..ukumbi umefurika lakin anaongea ongea tu...hapo angekua eddie ingekua balaa

Wanambania eddie griffin sabab ana race jokes
Amewezeshwa tuu huyo na wazungu, watu mara nyingi wanamcheka yeye jinsi alivyo badala ya jokes zake.
 
Hii ni kwa black stand up comedians?
Maana kuna Fluffy, trevor noah

Hawa ni top hata whites hawawagusi..
Whites nilikuwa namkubali Seinfeld..
Trevor Noah ni top Africa..
 
Hapa ndo kabisa....ila baba level akiwa trained na akiandika script vizur anaweza jarib au mpoki maana wako natural.wanahitaj mafunzo tu...sabab mtu akiwa na maongez ya kawaida tu unacheka akiwa trained si atakua vzur

Wapo wengi wazuri
Dogo pepe
Masumbuko..
Na wengine wanachipukia
Hata mpoki
 
Back
Top Bottom