Kelvin Hart: Overrated standup comedian

Unaweza kuwa sahihi kwa upande wa stand up comedy, lakin linapokuja swala la movie za comedy kevin hart ni habari nyingine mzee

Nenda kachek hiz movie then urud ufute neno "over rated" The upside, Night school, Central Intelligence na jumanji 2017
Umeelewa title lakin...nmeongelea stand up
 
Tatizo unakuwa na ma-frustrations yako na hapo ndipo unaamua kuchungulia clips za Kelvin Hart ukitarajia akurudishie mudi! Mambo hayaendi hivyo bro! Hata biriani mbuzi na utamu wake wote ule ukianza kulila na mifrustration yako lazima utaliona baya tu! Ushauri wangu ni kwamba, ukiwa na mi frustration yako, vuta bangi na utasahau japo kwa muda.
 
My best ever comedian of all the time is George Carlin.. ( R.I.P)
 
Kwahyo na wadau wa juu huko waliosupport hoja nao wana frustrations

Hebu tumia hyo vocabulary vzur kenge we
 
Stand Up Comedians

1. Chris Rock
2. Trevor Noah
3. Dave Chappelle

Kevin Hart and stand up comedy set mbili ambazo ni nzuri 1. Grown up little man na Laugh at my pain nyingine zipo kawaida sana.
 
Overrated ni MC Pilipili maana sio comedian kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…