KELVIN PRINCE BOATENG ni chaguo sahihi kwa Barcelona.

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
221
Taarifa za Barcelona kumchukua boateng kwa mkopo kutoka sassuolo imeshtua wapenzi wengi wa mchezo wa soka duniani na wengi wakiamini si chaguo sahihi kwa Barcelona binafsi nafikiri ni chaguzi sahihi sana.
1.Barcelona haina mshambuliaji asilia mmoja ambaye ni Suarez na tumeshuhudia kabisa anapopata majeraha timu inapomkosa yeye pamoja na messi timu inahangaika kupata Ushindi.
2.Barcelona ni kweli ina washambuliaji wengi mbele lakini mamba 9 asilia yupo mmoja tu nafikiri boateng ni chaguzi sahihi.
3.Kwanini asiwe giroud au Morata ambao mwanzo walikuwa katika mpango wa kuchukuliwa na Barcelona kwa Mpira wa Barcelona nadhani unahitaji mshambuliaji mwenye NGUVU na uwezo wa kulazimisha ushindi kama ilivyokuwa kwa etoo hata Suarez wa sasa.
3.Kwa boateng ana NGUVU ni mtumiaji wa mipira yote ya juu na chini tofauti na mtu kama geroud kwa hali ya ukosefu wa mshambuliaji mwenza wa Suarez pale Barcelona nafikiri Lukaku anaweza kuwa chaguo sahihi lakini sio mtu kama Morata.
 
Kwa kuwa ni mkopo is ok,.. Ila Prince angewafaa zaidi Waford au Newcastle wasishuke daraja.
 
Mi nimefurahi kusikia jembe langu limesaini klabu kubwa duniani.
Sifa za huyu jamaa, anaweza kukaba, kuchezesha timu hasa long ball.. kupiga mashuti.. kwa ufupi ni mpambanaji japo nina muda mrefu simfatilii.
Age imeenda sijui kama bado ana cha ziada, sio mbaya ikiwa Gonzalo kaenda kuokoa jahazi chelsea nae atawafaa.
 
Boateng sio mshambuliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…