Kemea Pepo la Mapingamizi

Kemea Pepo la Mapingamizi

Mangisandy

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
2,652
Reaction score
2,273
Kwa kawaida kwenye ibada wanazo shiriki wengi, kunakua na vipindi mbalimbali. Kuna praise and worship, kuna mahubiri, kuna maombezi na kadhalika na kadhalika. Upande wa siasa, waungaji mkono wa zile juhudi wamemaliza kipindi Peaise and Worship!


Wanaounga mkono sasa hivi wapo kwenye kipindi cha muhimu sana kwenye ‘ibada’ wanakemea pepo! Nawashauri kama pepo mlilifuga na mna mikataba nalo, vunjeni kwanza mikataba na kadhalika na kadhalika!! #yesuasifiwelugola🤣😂
 
Back
Top Bottom