Kemnat seeking for Directors, CEO, CMO, COO and share holders

Kemnat seeking for Directors, CEO, CMO, COO and share holders

Wazo zuri!Taratibu zote zinafanyika mkoa gani?Maana sisi tulioko nje ya DSM tunakosa fursa!Lakini je, mko serious au ni 'watoto wa mjini?'
 
Kiongozi, hiyo itakuwa mkoa gani?

Hao wakuu wataanza kwa kujitolea au utaratibu wa maisha yao uko vipi?

Ongeza taarifa kidogo ili tuuze habari kwa wadau.
 
Dar es salaam. Vikaohusika vitakuwa vikifanyika serena hotels
 
Taratibu zote za usajiri zinafanyika dar es salaam pia tumesema shareholder lazimaachangie milion moja minimumly. Ila atakayechangia zaid itakuwa faida kwake maana gawio la faida litaendana na percent ya share
 
mkoa gani

dar es salaam na utafiti umeshafanyika juu ya jinsi kampuni itakavyoendeshwa
baada ya kukutana na kujuana
tutajadili jinsi ya kuendesha kampuni. Upatikanaji wa miongozo yaawali mpaka kupata viongozi kamili na katiba. Watu kumi wa mwanzo watapata ajira mlemle na kiingilio ni hisa yenye thaman ya milion moja. Watakaochelewa kiingilio share ita kuwa milion mbili
 
Hapa naona mleta mada anabadilisha user name tu na anajijibu mwenyewe, du, sajiri kwanza kampuni yako (yenu) kwani hiyo ya kusajiria hamna? ukisajiri toa taarifa tuiangalie (brela online name searching) ikiwa tayari tunashare tu hakuna shida, kwasasa sahau, km vp tafuta marafiki hapo ulipo.
 
hahahahahaha, mkuu umenifurahisha sana, nmependa analysis yako
 
hahahahahaha, mkuu umenifurahisha sana, nmependa analysis yako

Dunia ya leo kilakitu kiko wazi, ukinipa jinalako kamili, baada ya nususaa nakupa historia yako, ulipo soma, miaka, unapoishi,no ya simu nk, hakuna kuficha kitu leo
 
Mmmmhhhh me napita tu, nahisi harufu ya matapeli wa hapa mjini, wizi mtuuuuupuuu
 
Back
Top Bottom