PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Mar 21, 2019 #21 Simba ina hitaji kuboresha kipa. Beki wakucheza na wawa. Pia washambuliaji hatari zaidi kama 2 basi simba itakua gesi yakuotea mbali.
Simba ina hitaji kuboresha kipa. Beki wakucheza na wawa. Pia washambuliaji hatari zaidi kama 2 basi simba itakua gesi yakuotea mbali.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Mar 21, 2019 #22 Duuh
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 21, 2019 #23 Yeye pia atumie akili,atasugua benchi tu hakuna namna! Simba inaenda kusajiri vifaa level ya TP Mazembe,Ajib hata mechi za mazoezi anaweza kukosa namba
Yeye pia atumie akili,atasugua benchi tu hakuna namna! Simba inaenda kusajiri vifaa level ya TP Mazembe,Ajib hata mechi za mazoezi anaweza kukosa namba
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Mar 21, 2019 #24 Ajibu hana uwezo wa kucheza Simba aachwe aliko, ndipo saizi yake, Simba inahitaji wachezaki wenye uwezo mkubwa, sio kwa Kiwango Ajibu. Sambamba na kampeni hii, kuna kampeni ya kuisaidia Azamu ichukue FA, hii tukishirikia inawezekana Azamu abebe kombe hili. Tulisema kila ashinde mechi zake wale hawataki kutwa kujishuhurisha na mechi zetu, sasa na Sisi tushuhurike na mechiz Za Azam ashinde. Sent using Jamii Forums mobile app
Ajibu hana uwezo wa kucheza Simba aachwe aliko, ndipo saizi yake, Simba inahitaji wachezaki wenye uwezo mkubwa, sio kwa Kiwango Ajibu. Sambamba na kampeni hii, kuna kampeni ya kuisaidia Azamu ichukue FA, hii tukishirikia inawezekana Azamu abebe kombe hili. Tulisema kila ashinde mechi zake wale hawataki kutwa kujishuhurisha na mechi zetu, sasa na Sisi tushuhurike na mechiz Za Azam ashinde. Sent using Jamii Forums mobile app