Kempinski, mambo mazuri!

Chumbe nimeshatembelea sana Mkuu, miaka ile ya mwishoni ya Tisini, katika hatua za awali za ujenzi wake, na kubahatika kualikwa rasmi wakati wa ufunguzi wake!

Mkuu huko kwa kupiga chabo coral reef ndio penyewe... wacha kobe na visnake vya hapa na pale...Ni Chumbe huko!

Si unajua tena Chumbe kulivyo karibu na Chukwani, bandari isiyo rasmi hapo Zenj
 

...saaafi sana, waliniacha hoi na vyoo vya shimo vya 'kidhungu! nami nilipandia boti kwenye hiyo hiyo bandari isiyo rasmi, karibu na fishermen Resort pale 🙂
 
...saaafi sana, waliniacha hoi na vyoo vya shimo vya 'kidhungu! nami nilipandia boti kwenye hiyo hiyo bandari isiyo rasmi, karibu na fishermen Resort pale 🙂
😀 😀
Wenyewe wanaviita Dry Toilet
 
Kumbe hawa jamaa wako serious na business za hotel eehhh!!!
Big up Kempinski MANAGEMENT kwa kweli..........

ALL THE BEST IN YOUR FUTURE INVESTMENT
 
Kumbe hawa jamaa wako serious na business za hotel eehhh!!!
Big up Kempinski MANAGEMENT kwa kweli..........

ALL THE BEST IN YOUR FUTURE INVESTMENT

....naaaaam, naaaam!

nadhani wale walioonja chumvi kidogo wanaikumbuka Hotel Village77 pale Arusha. Enzi zake palikuwa pananoga sana, kila jioni kuna live band ya wale wagoa,... mikutano ya kimataifa nk... lakini ndio hivyo tena.

Good News, Kempinski wameichukua, vyumba 300 vitapatikana hapo na huduma ya nyota tano!

 



...Hotel77 enzi za uhai wake. Vyumba vya kulala wageni 368 enzi zake.
Haya; tuwasubirie 'wawekezaji' wa Kempinski wafanye kweli;​

Kempinski Hotels, which also owns Kempinski Hotel in Zanzibar, was founded in Germany 110 years ago. It is the oldest luxury hotel collection in the world which now owns and operates an international portfolio of 59 hotels.
 

Do you pay per person or per room?
 

Sawa marketing manager! Ila wameanza kipindi kibaya kidogo maana mwaka huu ngozi nyeupe haba kidogo labda wajaribu ushauri wa mkulu wa kupunguza gharama kwenye visa na wapunguze pia kwenye fee za park zetu tutawafumania msimu wa mwakani. Kwa wamakonde wenzangu labda liibuke deal la umeme mwingine ndo tumudu kwenda huko. Mimi nitaendelea kila mara kutumia hema mzee.
Karibu kwenye hema kaka maana hata hizo fedha tutakazo walipa Kempinski hazina account Tanzania!
Angalia booking za CC Africa mpaka ziende zikafanyiwe confirmation south Africa ndo upate chumba.
Lakini sikukatishi tamaa enedelea kuhamasisha kaka!
 
Do you pay per person or per room?

per person ndugu yangu.


duh, mara ushaniita marketing manager?, hapana bana mimi nahamasisha uzalendo tu.

According to the Governor of the Bank of Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndulu, tourism is expected to generate US$1 billion, which is contribution to about three times the annual income gained from agriculture.

wanaofaidika na biashara ya watalii sio kempinski peke yao, kuna;

1. 75% ya waajiriwa ni watanzania wenzetu walioajiriwa 'direct' kufanyakazi kwenye hayo mahoteli, na wale 'indirect' mfano; wajenzi wa mabarabara kuelekea kwenye mahoteli hayo, vibarua na wajenzi wa mahoteli hayo nk
2. Suppliers wa kitanzania wanajipatia kipato kwa ku supply vyakula, stationeries, maua, nk kwenye hayo mahoteli incl wakulima wa mazao hayo
3. Madereva/Tour guides wanajipatia kipato kwa kuwatembeza hao watalii.
4. Curio shop owners pamoja na wachonga vinyago, wachoraji, watengeneza Batiki, nk nao humo humo wananufaika bidhaa zao zinaponunuliwa na watalii
5 nk nk...

Usiangalie pesa za malazi pekee 🙂
 
The Chelewa thatching for Kempinski was even done by a Tanzanian company. "mcheza kwao hutunzwa". Company is called Pownall Tanzania Ltd and its the only company that does it. And its supposed to last from 30years - 50years. All the material (chelewa) is brought in from the coast......Tanga, Pemba, Mafia etc. Providing employment in the remote coastal regions. Its eco friendly and very sustainable. And it looks much better then the pictures.
 
...thubutu yake!

Nami pai nasikia kuwa ana hisa na ndo maana akifika Arusha lazima afike Serengeti.

Niulize tu, hivi hii ya Ngurdoto ni ya nani? maana naona vikao vingi vya viongozi/semina elekezi huo vinafanyikia huko, ua serikali ina hisa huko ninin?
 


Siwezi kusupport upumbavu wa jinsi hii..!!! Kama unazijua vizuri baadhi ya tabia za wanyama poli basi hutoweza kukubaliana na ujenzi huo kwa 100% . Jinzi tunavyosogeza karibu makazi ya binadamu karibu na wanyama poli nao husogea mbali . Hii ya ujenzi ni moja kati ya sifadi kwa wanyama na viumbe wa polini kwani zinazoharibu makazi na hifadhi zao.

Ningeshauri ujenzi huo ungefanyika nje ya mbuga na kujengwa maeneo ya Arusha au hata maeneo ya Manyara ambayo yapo mbali na maeneo ya wanyama. Hotel moja inatosha sana huko mbugani...tena itumike kama emergency endapo usafiri utakuwa wa shida au wateja watalazimika kulala mbugani.

Kujenga Hotel nzuri haimaanishi ukajenge hata katikati ya uwanja wa taifa bali tunatazama na mazingira pia.

Tumekosoa waarabu wa Loliondo kwa kujenga uwanja wa ndege mbuga tukijua fika kwamba midege inayotua pale inaleta usumbufu kwa viumbe waliopo maeneo yale na kusababisha baadhi kuhama kabisa.

Kama tutaendelea kujenga mihoteli ya kifahari kule maana yake ni tuwakimbize wanyama wahamie Kenya ?
 
Last edited:

...sawa sawa, ila tukiangalia ramani hii kwa mfano tunajifunza wanyama wanatabia ya kuhama hama pia...

...Nakubaliana nawe ujenzi holela utachangia uharibifu wa mazingira na tabia asilia za wanyama. Lakini, ili kuvutia watalii wa hadhi za kimataifa waje Tanzania na serikali ijipatie pato la maana, inabidi pajengwe hoteli zenye kukidhi matakwa ya wageni hao.

Hifadhi ya Serengeti ina Ukubwa usiopungua kilometa za mraba 5,700. Kujenga mahoteli nje ya mbuga maana yake unataka mtalii aende game drive zaidi ya kilometa 500 au zaidi... Ukizingatia hizo Off roads na adha yake tutajikuta tunaruddia kule kule wanajionea bora kwenda Maasai Mara Kenya kwenye hoteli bora na tena zilizo ndani ya mbuga.

Hata hivyo tuendelee kuwa macho, Wajinga wachache huko serikalini (kwa tamaa zao) wakaja tumalizia hata hiki kidogo tulichobakia nacho. Maana tunaona Mlima Kilimanjaro unavyokuwa 'abused' kiasi cha kuhatarisha kama sio tumekwishachelewa kulinda mimea, wadudu na wanyama waliokuwepo kwenye mlima ule.
 
Kama hoteli zenyewe Bei zake ni uwards of $250,basi msitegemee watanzania watafaidi matunda ya Utalii wa ndani,hizo bei ni exclusively wageni tu ndio watakaozifaidi.na kama asilimia 0.5 ya watanzania wanaojiita middle class.

Wale wenzangu na mie wanaotegemea kuishi kwa mshahara na posho kwenda huko ni ku-sabotage uchumi wa familia.ujenzi wa Malazi ya mbuga za wanyama yawekwe kwa makundi tofauti ya kipato yaliyopo tanzania.la sivyo huo utalii wa ndani utakuwa historia.
 

...it's the same 'music' kila nchi utayokwenda. Ni hali ya maisha/kawaida tu hiyo, priorities zinatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…