Ken Gold yaachna na Kocha wake

Ken Gold yaachna na Kocha wake

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
🛑Klabu ya KenGold ya Chunya Imeripotiwa kuwa iimeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Fikiri Elias kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Snapinsta.app_459547323_1048169103333145_1125996723938869806_n_1080.jpg
 
Kiufundi binafsi nimeona Ken Gold wachezaji wanakaa sana na mpira, anao anao sana hadi wanapokonywa mipira kijinga sijui wana shida gani.

Wachezaji wacheze kitimu wakabe kwa nguvu, watoe pasi haraka, watoe vyumba haraka waache sifa za kijinga kujidai wanajua kupiga chenga na kupunguza wapinzani kitu ambacho hawawezi.
Wajaribu pia kupiga mipira mirefu mbele itawasaidia.

Otherwise kila la heri kwa kocha Elias wachezaji bomu wamemuangusha. Wamchukue Mauya na kwa mkopo waongeze Shehani na Kibwana waongeze nguvu.

Yule kijana alietoka Kagera Sugar Ally Kagawa mbona simuoni akicheza Ken Gold ni mchezaji mzuri sana.
 
Back
Top Bottom