Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ccm ni kiumbe binafsi mkuuNa hao watu binafsi wenye tabia za wizi wako chama gani?
Anadhani anaongea na vikatuni? Wtf is wrong with this poeple? Eti hamna wezi?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi.
Amesisitiza kuwa lengo la utumishi wa umma ni kutoa huduma bora kwa wananchi, si kujinufaisha binafsi, huku akiwataka watumishi kutekeleza majukumu yao kwa haki na uadilifu.
Kihongosi ametoa kauli hiyo mjini Bukoba alipokuwa akisikiliza kero mbalimbali za wananchi, hususan zinazohusu migogoro ya mirathi na ardhi. Amesema CCM haitakubali kuona wananchi wakionewa au kunyimwa haki zao, na itaendelea kusimamia masilahi ya wananchi kwa kuhakikisha haki inatendeka.
Aidha, amesisitiza kuwa chama hakihusiki na vitendo vya wizi au uporaji, bali matatizo hayo yanachangiwa na tabia binafsi za baadhi ya watumishi wasiowajibika. Ameongeza kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika ili kurejesha nidhamu na kuhakikisha wananchi wanapata huduma stahiki bila vikwazo.

UVCCMAnasema kama nani??
Sasa tabia mbovu za watu binafsi kwenye chama ndo anajisifia nazo, huyu Kihongosi vipi!?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi.
Amesisitiza kuwa lengo la utumishi wa umma ni kutoa huduma bora kwa wananchi, si kujinufaisha binafsi, huku akiwataka watumishi kutekeleza majukumu yao kwa haki na uadilifu.
Soma pia: Kenani Kihongosi: Hakuna mbadala wa Amani, lazima ilindwe
Kihongosi ametoa kauli hiyo mjini Bukoba alipokuwa akisikiliza kero mbalimbali za wananchi, hususan zinazohusu migogoro ya mirathi na ardhi. Amesema CCM haitakubali kuona wananchi wakionewa au kunyimwa haki zao, na itaendelea kusimamia masilahi ya wananchi kwa kuhakikisha haki inatendeka.
Aidha, amesisitiza kuwa chama hakihusiki na vitendo vya wizi au uporaji, bali matatizo hayo yanachangiwa na tabia binafsi za baadhi ya watumishi wasiowajibika. Ameongeza kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika ili kurejesha nidhamu na kuhakikisha wananchi wanapata huduma stahiki bila vikwazo.
MpuuziKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi.