Kenani Kihongosi: Jumatatu 16.8.2021 kuanzia saa 3 Asubuhi nitakuwepo ofisi za UVCCM Upanga Jijini Dar

Sawa bora wangetoa namba wapate ushauri Tanzania nzima kuliko Dar kama Dar!!!!! Kuna watu wanaushauri bora huku NANJILINJI kuliko hata huko Dar es salaam
Katibu mkuu @uvccm_tz Ndugu @KenaniKihongos1 siku ya leo tarehe 16/08/2021 kuanzia muda wa saa 3 asubuhi anawakaribisha vijana wote ofisini ili kusikiliza changamoto zao.
vijana tunachangamoto,ushauri na maono makubwa, NJOO TUZUNGUMZE NA MTUMISH WA WOTE


TUMA UJUMBE WA USHAURI AU MAONI YAKO KWA KATIBU MKUU UVCCM 0713940380 TUPO TAYARI KUKUSIKILIZA
 
Aende mahakamani arusha akatoe ushahidi wa mgawo wa 1m aliopewa na jambazi mwenzake sabaya,ccm kumejaa vibaka n majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…