GE2025 Kenani Kihongosi: Kusafirisha watu ni hoja dhaifu hatuna muda kuijibu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni.

Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
La mwenyekiti ndilo tuchukue. Mambo ya hoja dhaifu tumuachie yeye...! Hivi ukijibu hoja dhaifu unapewa sifa ipi? tuanzie hapo msemaji!!
 
Uelewa wake hautoshi kjibu hoJa


Deal of millions dollars, kwishaaa
 
Sikuzote ukiongea kitu kisichotoka moyoni...hata midomo inagoma kutoa ushirikiano....tushukuru mwenyekiti kajisemea ukweli😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…