Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.
Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amesema haipendezi kuona chama cha siasa au mwanasiasa akishangilia kifo cha mtu, akisisitiza kuwa siasa za namna hiyo hazina tija kwa maendeleo ya nchi.
“Leo mtu anafariki, eti mtu anashangilia halafu hicho ni chama cha siasa. Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.
Hiki kijamaa kina mipasho kama bi chura. I guess mfumo ulishadukuliwaKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kushangilia misiba na kuhamasisha chuki.

Hakuna ushahidi wa chama kushangilia vifo ila ushahidi wa chama kikishirikiana na serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuua, kufira, kuteka, kuiba, kuhujumu uchumi na kudhulimu watu huo ushahidi ndiyo upon na hautii shaka hata kidogo na sasa wame-advance wanafanya mauaji ya halaiki(massacre) na kuzika kwenye makaburi ya halaiki(mass graves). Hicho chama ni CCM.Mjinga huyo, chama ni vikao sio mitandaoni. Ni chama kipi kimekaa kikao na kutoka na azimio watu washangilie vifo? Yeye asema ccm wataendelea kukalia kimya utekaji huku wakipora chaguzi na kufanya mauaji hadi lini? Asitake kujifanya hajui ni wapi chuki ya watu inatokea. Kama anajiamini akae kwenye mdahalo na chama cha kweli cha upinzani apewe ukweli wake. Mpuuzi huyo aendelee kuhutubia wenye muda wa kusikiliza uchafu wake.
Naunga mkono hoja PreGE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za kuhamasisha chuki.
Tunahitaji upinzani uliokomaa. Ndiyo maana Chama cha Mapinduzi tutaendelea kuwalea hawa watu tutawalea Chadema wakue, CUF wakue, ACT wakue, hawa wote ni watoto wetu, tunawalea bado,” amesema.