Kendrick Lamar aisimamisha Marekani na tamasha lake la POP OUT CONCERT

Kendrick Lamar aisimamisha Marekani na tamasha lake la POP OUT CONCERT

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT.
Mastaa kibao wamehudhuria show hiyo.

Jambo lililosisimua watu zaidi ni pale Kendrick alipotumbuiza ngoma ya Not Like Us zaidi ya mara 4, Not Like Us ni diss track inayomlenga kijana kutoka Canada.

Kijana Drake leo ataweweseka sana usiku, hatokuja kuisahau hii siku.
 
IMG_1255.jpeg
 
Back
Top Bottom