Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT.
Mastaa kibao wamehudhuria show hiyo.
Jambo lililosisimua watu zaidi ni pale Kendrick alipotumbuiza ngoma ya Not Like Us zaidi ya mara 4, Not Like Us ni diss track inayomlenga kijana kutoka Canada.
Your browser is not able to display this video.
Kijana Drake leo ataweweseka sana usiku, hatokuja kuisahau hii siku.