Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu 2017 alipotoa album yake ya DAMN, Kendrick Lamar amerudi ameshatangaza ujio wake tena kwa kutangaza ujio wa album yake aliyoipa jina 'Mr. Morale & the Big Steppers' itakayotoka rasmi kesho tarehe 13 may.
Inayodaiwa kuwa ni cover ya album ya 'Mr. Morale & the Big Steppers'
Pia ameachia video ya wimbo uitwao the heart part 5.
Welcome back K dot, kung fu kenny..
Inayodaiwa kuwa ni cover ya album ya 'Mr. Morale & the Big Steppers'
Pia ameachia video ya wimbo uitwao the heart part 5.
Welcome back K dot, kung fu kenny..