Kendrick Lamar is overrated

Poleee ndugu ujui mziki wewe. Kaungane na isha mashauz huyo ndo naona anakufaa
 
Wakati Nas amemdiss jay kumwambia he sold his soul to devil..nkajua Ni shetani..kumbe sio..kwenye rap wanaposema YOU SOLD YOUR SOUL TO DEVIL They dont mean an actual Devil..,wana maana kua You dont do rap for love,you do it for money and fame
Kumbe! Me huwa nadhani ni huyu anayepitia watu
 
God's plan
 
God's plan
I hold back, sometimes I won't, yuh
I feel good, sometimes I don't, ay, don't
I finessed down Weston Road, ay, 'nessed
Might go down a G.O.D., yeah, wait
I go hard on Southside G, yuh, wait
I make sure that north-side eat
And still
 
I hold back, sometimes I won't, yuh
I feel good, sometimes I don't, ay, don't
I finessed down Weston Road, ay, 'nessed
Might go down a G.O.D., yeah, wait
I go hard on Southside G, yuh, wait
I make sure that north-side eat
And still
Nimekuja kugundua watu wengi huwa wanawadiss rappers kwa mkumbo na kuangalia lifestyle zao hasa kuvaa na kuendesha magari mazuri, showoffs mbili tatu LAKINI hawaangalii lyrics za hawa jamaa na vile wanavyomaanisha.
 
Speaking of ku underestimate uwezo wa Kendrick wa Kurap na Kuandika, sijawah mchukulia poa au kuhisi kuwa ha deserve kuwa hapo alipo. Kendrick ana vitu vyake hadimu sana ukiviskia unakuna kichwa mf. "Hi Power, Money trees, Sing about me" na zingine kali, sema hii style yake ya kubadilika kwenye flow ndo sometimes inawafanya watu wasiijue radha halisi ya kendrick. Kwa kipindi cha karibuni nimeona J cole na Kendrick ndio rappers waoangaliwa sana na kupambanishwa pia. Sijafaham sana uhandishi wa kendrick lakini Kwa Jcole huyu jamaa yeye ni story teller Ukiangalia albam zake nyimbo huwa zinakuwa na flow kama hadithi flan hivi mf. Forest Hills Drive na wakati aki perform hiyo album Kitaa cha kwao Fayyetville alisema " This whole album is journey from the beginning to the end" so kuna namna ukiwa unaskilza album yake unapata flow nzur ya matukio kwenye ngoma zake.

Mwisho unabaki ushabiki binafsi na mara nyingi huo ndo unaua facts.
 
So For Gone mixtape na Thank Me Later album hapa Drake alikuwa vzr sana tofauti sasa
 
Mkuu unasemaje? Hebu rudi kwanza kaiskilize album yake ya kwanza ya Hiiipower halafu urudi kuleta maneno
 
When you know, we been hurt, been down before, nigga
When my pride was low, lookin' at the world like, "where do we go, nigga?"
And we hate Popo, wanna kill us dead in the street for sure, nigga
I'm at the preacher's door
My knees gettin' weak and my gun might blow but we gon' be alright


Wimbo wa kedric nnaoupenda sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…