Kendrick Lamar is overrated

Mr. Kendman hashindanishwi aiseee labda kwa umaarufu ila game hana mpinzani kwa sasa
 
Mr. Kendman hashindanishwi aiseee labda kwa umaarufu ila game hana mpinzani kwa sasa
Siku nkijua kinachofanya Kendrick apate this love mnayomuonesha,,hah I will be so happy
 
kama legend big shaq .....
 
J.COLE IS THE REBIRTH OF NAS TO ME NAS IS THE BEST HIPHOP MC ALIVE EVER AND J.COLE IS THE NAS REINCANATED
Wakati mtoto J.Cole room kwake alibandika picha za Nas ukuta wote was full of lyrics za Nas..wakati J cole katoka Nas akawa shabiki namba moja wa J cole..badae j cole akatoa ngoma inaitwa Work Out..akamkera Nas..nas akasema dogo kam dissapoint kutoa nyimbo ya kijinga kama vile..haha akakaa chini J cole akaja na bonge la Ngoma..inaitwa LET DOWN NAS..hahah i love j cole...Forest Hill Forever.
 
Hakika huu uzi nimeupenda sana, kumbe wadau wa muziki wa rap na hip hop tupo wengi humu jukwaani. Nilichofurahi ni kwamba wachangiaji wengi wanafuatilia vizuri kinachoendelea kwa sasa kwenye ulimwengu wa muziki wetu pendwa. Big up wachangiaji wote kwenye huu uzi, haya mwongo flea yao sijui masingeli, sijui nn tupo kule me huwa hata siyasikilizi kabisaa!!!!!
Fight night by Migos.
Beamer by Migos ft Wiz Khalifa & Rae Sremmurd.
 
Drake sijawahi kumkubali,asap rocky sikatai
 
drake mtoe hapo ..Hamna kitu mule ..yule mbana pua waanza kumfananisha vipi na kina j.Cole ..yeye ndiye sababu yakuwaibua Hawa kina rich hommie quin..na kina young thug ..wanaojifnya wana hiphop kumbe wanaimba tena wanaimba softly kabisaaa
 
Kendrick amepunguza mismamo kutokana na maelekezo anayopata kutoka kwa mabosi zake ndio maana hawezi kuwa sawa na yule wa Section 8 or Mad City nk.Huu muziki una wenyewe jamani ndio maana hata Big notorious na 2Pac walikuwa wakisugua na wenye muziki baada ya kuambiwa wapunguze ujuaji na viburi.Unapokuwa chini huwa ni rahisi sana kufanya kile unachokitaka lakini ukifika juu utaanza kufanya kile ambacho mabosi wanataka kulingana na soko.Underground wengi huwa wanapendwa na mtaa kwa faida ndogo au bila faida lakini wakifika kwenye main stream huwa wanapigiwa hesabu za kufaidika na kufaidisha watu.BITCH DON KILL MY VIBES..............
 


THE DAMN.. [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] IMEIBEBA HIPHOP KWENYE LIST
Huyo Taylor swift analaana aiseee demu ...anawaburuza huyo ..yaani yeye anapiga Pesa tu
 
karibu bro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…