Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
We jamaa umesoma Magogoni nadhani, yaani unaakili sanaAlmost kila mwana Hip Hop huanza vizuri akiwa na misismamo yake binafsi lakini anapofikia level ya juu huwa chini ya watu kwa hiyo mambo mengi anayoyafanya yanakuwa yanakwenda kimikataba.Tusilaumu kubadilika kwao kwa sababu wao pia huangalia mustakabari wa maisha yao.SOMETIMES THEY MUST SELL THEIR SOUL TO THE......
Nipe location tuandike lyrics nichanikeyeah man..nlianza tangu primary school tangu Fl 5..nimeacha mwaka 2013..ubize..life..but now I make beats for funny...tena hadi niwe na mzuka Sana..natumia Akai 5000,na logic 5
Nzuri ?2: Drake.. Sorry
Ipate remix alofanya na Jay z ndo utamjua huyu mtu mchaf
[emoji146][emoji146][emoji146]
Wafanya biasharaWakati Nas amemdiss jay kumwambia he sold his soul to devil..nkajua Ni shetani..kumbe sio..kwenye rap wanaposema YOU SOLD YOUR SOUL TO DEVIL They dont mean an actual Devil..,wana maana kua You dont do rap for love,you do it for money and fame
Kila zama na kitabu chakeWatumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.
Hahahahha naikumbuka hiiEther..walikua na bifu..na diss hazikua subliminal ilikua direct shots..haha Nas anaanza kurap intro **** GAY Z
Jcole is the real deal at the moment...lyrically..flow...amemwacha mbali kdot..sema system ya mziki the whole world is fucked upWell,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS
1: J Cole
2😀rake
3:Big Sean
4:A$ap rocky
5: Pusha T
Usiite hiphop vitu vya kijingaHiphop imebadilika sana now day hiphop ya kina migos cielewagi kabisa.
Ukiachana na dmx. Wewe msmamo wako ni upDmx alisema Drake is a female rapper full stop.
I'm done
Kendrick Lamar ni msanii mzuri sana in terms of rapping skills na punchline delivery na kwa upande wa J.cole aisee huyu mwamba ni zaidi ya hivyo vitu viwili nilivyotaja hapa juu. J.Cole anahakikisha kila nyimbo anayoitoa inakuwa na ujumbe ndani yake as well as burudani and that is the essence of Hip Hop music, mashairi yake ni very conscious, I wonder ni kwanini huyu jamaa hajapewa grammy mpaka leo wakati he has gone double platinum with no features tena kwa album mbili (2014 forest hills drive na 4 your eyez only), hii haijawahi tokea in music history.Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS
1: J Cole
2😀rake
3:Big Sean
4:A$ap rocky
5: Pusha T
Ipate remix alofanya na Jay z ndo utamjua huyu mtu mchaf
[emoji146][emoji146][emoji146]
Humu Gay Z (according to Nas) alitamani kuliaAsee si mchezo.......Kumkataa Kendrick ni kujipa mateso ya moyo.IGNORANCE IS BLISS...
Okay mzee nikiwa na mzuka ntakuita maskani tutoe kitu..Nipe location tuandike lyrics nichanike
[emoji146][emoji146][emoji146]
Ni rapper mzuri lakin sio kumcompare na Kendrick, I mean I appreciate wat is he doing but not to that extentUkiachana na dmx. Wewe msmamo wako ni up
Mzee hiyo tafsiri ya kweli ?Wakati Nas amemdiss jay kumwambia he sold his soul to devil..nkajua Ni shetani..kumbe sio..kwenye rap wanaposema YOU SOLD YOUR SOUL TO DEVIL They dont mean an actual Devil..,wana maana kua You dont do rap for love,you do it for money and fame
Kwa logic kaka hapana..kwa white rappers mkali naona in Machine Gun KellyKendrick Lamar ni msanii mzuri sana in terms of rapping skills na punchline delivery na kwa upande wa J.cole aisee huyu mwamba ni zaidi ya hivyo vitu viwili nilivyotaja hapa juu. J.Cole anahakikisha kila nyimbo anayoitoa inakuwa na ujumbe ndani yake as well as burudani and that is the essence of Hip Hop music, mashairi yake ni very conscious, I wonder ni kwanini huyu jamaa hajapewa grammy mpaka leo wakati he has gone double platinum with no features tena kwa album mbili (2014 forest hills drive na 4 your eyez only), hii haijawahi tokea in music history.
List yangu ya hip hop artists inaenda hivi.
1.J.Cole
2.Joey BadA$$
3.Logic
4.Mac Miller
5.Drake
Machine Gun mtu mbaya sanaaaaaaaaaKwa logic kaka hapana..kwa white rappers mkali naona in Machine Gun Kelly