Kendrick Lamar kawafunika legends?

tuache yote.Mbabe ni MEEKMILL..Kuanzia Album mpaka Mixtape.
[HASHTAG]#free meekmill[/HASHTAG]
Meek Mill anapiga kelele tu hata mashabiki wke wameshika wimbo mmoja tu ule dreams and nightmares [emoji1]
 
Mwanzo nilidhani jamaa hakuna anayempata kwa sasa lakini nimekuja kugundua J.Cole pia yuko vizuri sana japo anaweza kuwa hajamfikia K.Dot, lakini kitu ambacho nimegundua watu wengi huwahukumu watu bila kuwasikiliza, muhimu tafuta kazi za mtu msikilize then ndo useme chochote, naweza sema K dot hajawafunika wakongwe lakini huu ni muda wake na anauwasha moto kweli kweli
 
Je amefika level za malengends kwenye mziki wa hip hop?
Kawafunika?
Nikisikiliza nyimbo zake naona jamaa anajua mno
Umemsikia Dr Dre au Ice Cube anaproduce tena? Umemsikia Dupri au Diddy anaproduce? Kila nkitu na wakati wake ndio maana hata kina Juma Nature alipaswa kuacha muziki sema sababu ya njaa tu.
 
"When my pride was Low, look at the world like where do we go?? nigga"
Hahaaa you make me smile ngòja nimalizie mstari kidogo

Nigga and we hate popo
Wana kill us dead in the street fo sho nigga, I'm at the preacher's door my knees getting weak and my gun might blow
But we gon be alright
 
Back in the days when hip hop was real, you could feel the blaze even when they were going acapella!

Jigga, Nas, Eminem, Dr.Dre, Royce da 59............. the list is long as https://jamii.app/JFUserGuide.

From the battles, punch lines and killer flows, hip hop was real.

We talking about hip hop right now, and some niggas talk about drake and future, like serious?

These kids ain't no where near Kanye (and Kanye ain't even the best)

Putting Pac and Kendrick in the same sentence is just a lack of discipline!

Yes, when compared to the other whack rappers of his kind, he might look better. But he has no chance among the best rappers!

These kids are all mediocre, and they just rely on the media hype!

Otherwise, Kendrick could be the best rapper only if Hov plays tennis, slim shaddy is a Chef, and Pac was a preacher!

Oh, kids nowadays......
 
Sielewi Kendrick Lamar ana mvuto gani.

Labda ni kwa sababu hamna wakali muda huu.

Kendrick Lamar hata drake alimfunika kwenye poetic justice! Angalia hata black Friday jinsi j.Cole alivyofanya ikaeleweka kwenye kipande alichosimama.

K.dot ni mkali sawa lakini kusema ndio rapper mkali kuliko wote hell no!

Nafikiri kinachofanya watu wavutike na yeye ni nominations nyingi anazopata kwenye tuzo!
 
Pia, kwa sasa watoto watoto wengi wanaoibuka hawawezi k spit wanarudia rudia neno moja mistari kumi.
 

And Nas a classy Pimp.
 
very true brother kendrick lamar is not that good to compare with the legend even J.cole is the better than kendrick lamar but thisis the crazy hiphop era J.COLE is not singing about money,girls and cars thats why he is so underratted
 
Man, these kids nowadays. Eti drake anawin the best hip hop artist of the year, like serious!
hahaha funny.. Everything before these new kids was boss. Now it's all about pimps acting pimpin' and girlies with their booties shaking.

I dunno if any of that makes sense or if it sounds like rambling but I'm posting it anyway...[emoji1]

Btw, Im btn old kid and new kid but I like oldskul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…