Kendrick Lamar vs Drake, nani mkali?

Nas Escober lini kawahi kum-nyooshea mikono Drake??

Kwenye Outro ya Lil wayne ya Carter4...Nas anasema "I love my niqqa Drake say we aint got time to respond to niqqas"
Hiyo tu inaonesha Nas huwa anamsikiliza Drake, thats a compliment na love pia kwa Drake!!

Nyingine kwenye nyimbo ya Dj Khaled 'Hip Hop'. Nas anaiongelea hip hop hivi "Today I'm DRAKE, I'm Wayne, 2 chainz".
Rapper kama Nas kuku-name drop sio kitu kidogo, thats a compliment pia!!

Na hapo nime base kwenye lyrics zake tu.
 

Kwenye hiyo list watoe Wale na J. Cole. Japo sawa wote wanatamani ku-make big numbers..ku make platinum albums...lakini hawako ki mainstream rap. Lyrics zao ziko vizuri.

Making platinum records kwa ku make dope a$$ tracks hata K dot analitaka hilo.
 
Drake, Dreezy, Rogers...ni habari nyingine Kendrick Anasubiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…