Pass Master
Member
- Sep 18, 2020
- 94
- 61
😀😀Good Boy in MAAD City,DNA,Humble,These Walls,King Kunta,Alright na All the Stars...Chalii yuko bize anaandaa Album yake mpya..naskia kajifungia kabisa hataki unnecessary interaction na maraia
And we hate po-poWe been hurt, been down before, nigga
When our pride was low
Looking at the world like, "Where do we go
Atakuwa amejifungia anakula bangi tu kama haumphrey polepoleGood Boy in MAAD City,DNA,Humble,These Walls,King Kunta,Alright na All the Stars...Chalii yuko bize anaandaa Album yake mpya..naskia kajifungia kabisa hataki unnecessary interaction na maraia
Hamfanyii kampeni Joe Biden ?watu wanafanya kazi kimkakati, soon utamuona kwenye new album
Nadra sana kutuona kwenye mambo kama hayo, tupo mbali na social media mita 10000
the jig is upNikisikiliza hii DNA,All star akiwa na SZA,Humble,Loyality ft Rihanna,Element,Bitch don kill my vibe,Bad Blood akiwa na Taylor Swift....
Yupo wapi Kendrick Lamar? Mwana Hip Hop ambaye kwangu naona kazidiwa na Eminem tu.